Rasoulof alitoroka Iran baada ya kubainika amehukumiwa kifungo cha miaka minane kwa kuvujisha taarifa za usalama wa taifa.
Marekani imesema makampuni hayo yalijaribu kukwepa vikwazo katika mpango ambao unaweza kuondoa dola bilioni 1.5
Kesi ya Bala iliangazia suala lenye utata la kukufuru katika eneo linalokaliwa na Waislamu wengi kaskazini mwa Nigeria
Wapalestina 450,000 wamelazimika kuyahama makazi yao katika eneo la Rafah katika kipindi cha wiki moja iliyopita.
Msaada wa kijeshi kutoka Washington utaleta tofauti ya kweli dhidi ya uchokozi unaoendelea wa Russia kwenye uwanja wa vita.
Migogoro na ghasia zimesababisha idadi ya watu duniani waliopoteza makazi ndani ya nchi zao IDPs, kuvunja recodi kufikia milioni 75.9, ikiwa takribani nusu yake kutoka nchi za kusini mwa jangwa la sahara, kulingana na repoti ya kituo cha kufuatilia IDPs, IDMC.
Rais Cyril Pamaphosa wa Africa ya kusini amekanusha madai ya upinzani kwamba kusitishwa hivi karibuni ugavi wa umeme inatokana na uchaguzi ujao wa mai 29.
Aliyekuwa Katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dr Peter Mathuki anatarajiwa kuhojiwa na Kamati ya sheria, Haki, na Hadhi ya Bunge la Jumuiya hiyo juu ya tuhuma zilizotolewa dhidi yake ikiwemo ya matumizi mabaya ya madaraka,ofisi na mali za Jumuiya.
Pia inalazimisha kuondolewa kwa vifaa vinavyomilikiwa na MineOne Partners ambayo kwa sehemu inamilikiwa na serikali ya China.
Baada ya matokeo kutangazwa wanajeshi walifyatua risasi hewani katika mji mkuu wa Chad, N'Djamena,
Mkutano huo umekuja wakati kukiwa na ongezeko la ugaidi nchini Pakistan na kusababisha vifo vya mamia ya watu.
Pandisha zaidi