Rasoulof alitoroka Iran baada ya kubainika amehukumiwa kifungo cha miaka minane kwa kuvujisha taarifa za usalama wa taifa.
Marekani imesema makampuni hayo yalijaribu kukwepa vikwazo katika mpango ambao unaweza kuondoa dola bilioni 1.5
Kesi ya Bala iliangazia suala lenye utata la kukufuru katika eneo linalokaliwa na Waislamu wengi kaskazini mwa Nigeria
Wapalestina 450,000 wamelazimika kuyahama makazi yao katika eneo la Rafah katika kipindi cha wiki moja iliyopita.
Msaada wa kijeshi kutoka Washington utaleta tofauti ya kweli dhidi ya uchokozi unaoendelea wa Russia kwenye uwanja wa vita.
Idadi ya Raia wanaokufa inaendelea kuongezeka wakati Israel ikiwa imezidisha mashambulizi upande wa kaskazini na kusini mwa Gaza siku ya Jumatatu.
Majeshi ya Israeli yamerejea kuendeleza mapigano upande wa kaskazini wa Ukanda wa Gaza.
Pia inalazimisha kuondolewa kwa vifaa vinavyomilikiwa na MineOne Partners ambayo kwa sehemu inamilikiwa na serikali ya China.
Baada ya matokeo kutangazwa wanajeshi walifyatua risasi hewani katika mji mkuu wa Chad, N'Djamena,
Mkutano huo umekuja wakati kukiwa na ongezeko la ugaidi nchini Pakistan na kusababisha vifo vya mamia ya watu.
Watu wote kutoka kusini mashariki mwa Uingereza walikamatwa mwezi huu na kushtakiwa kwa uingiliaji wa kigeni
Pandisha zaidi